MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii kwa sasa, bado mechi moja inachezwa leo kati ya Azam FC v Singida United
KIKOSI cha Ndanda leo kimelazimisha sare ya bila kufungana na mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja…
KIKOSI cha Azam FC kitakachoanza dhidi ya Singida United leo Uwanja wa Azam Complex
BIASHARA United ya Mara leo imelazimisha sare ya bila kufungana na Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Karume. Mchezo wa leo…
Kipindi cha Kwanza Uwanja wa Nangwanda SijaonaVPL: Ndanda 0-0Dakika ya 38 Bocco anapiga kichwa kinakwenda pembeni kidogoDakika ya 37 Luis anapeleka mashambulizi Ndanda Dakika ya 36…
KIPINDI cha Kwanza Uwanja wa Karume.Biashara United 0-0 YangaZimeongezwa dakika 3Dakika 45 zimekamilikaDk 44 Redodo anafanyiwa faulo Juma Abdul anaonyeshwa kadi ya njanoDakika ya 36…
DAVID Molinga mtupiaji namba moja ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa wamekubaliana kwa pamoja kupata pointi tatu kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya…
VITA kubwa kwa sasa ambayo imebaki kwenye Ligi Kuu Bara ni suala la kugombania nafasi ya pili kwa timu zilizo ndani ya tano bora huku…
UWANJA wa Karume, Mara mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Biashara United dhidi ya Yanga leo.Mchezo huo unatarajiwa kuanza…