Latest Posts
MOTO WA KUNDI A ACHA KABISA, CHEKI NAMNA VITA ILIVYO TAMU
MSIMAMO wa Kundi A wa Ligi Daraja la Kwanza, vita kubwa ni nafasi ya kupanda daraja jumlajumla ambapo Dodoma FC na Ihefu zote zinalingana pointi…
SAMATTA MAJI YA SHINGO ASTON VILLA
JAHAZI la chama la Mbwana Samatta la Aston Villa kwenye Ligi Kuu ya England (EPL) linazidi kuzama baada ya Juni 27 kuchezea kichapo kingine ikiwa…
RASMI: FRAGA AFUNGUKA HAYA KUHUSU SIMBA S.C..!!
KIUNGO wa Simba raia wa Brazil, Gerson Fraga, amesema anapopewa nafasi ya kucheza anajitoa na kujituma kwa lengo la kuisaidia timu yake kupata matokeo mazuri…
KAGERA SUGAR WAPO TAYARI KUPAMBANA NA YANGA KESHO TAIFA
TIMU ya Kagera Sugar, kesho ina kazi ya kupambana na Klabu ya Yanga kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho.Mchezo huo…
YANGA KUMENYANA KESHO NA KAGERA SUGAR USIKU
MUDA wa mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Yanga na Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa kesho Uwanja wa Taifa utakuwa ni saa 1:00 usiku.Awali mchezo…
AZAM NAO KUKIWASHA USIKU DHIDI YA SIMBA, TAIFA
AZAM FC, Julai Mosi, Uwanja wa Taifa itakuwa na kazi ya kumenyana na Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho.Mchezo huo awali ulitarajiwa kuchezwa majira…
BALAMA MAPINDUZI AWASHUKURU WACHEZAJI NA MASHABIKI KWA KUMUOMBEA DUA
MAPINDUZI Balama amesema kuwa anajiskia faraja kuona wachezaji wenzake na mashabiki wanamuombea apone.Mapinduzi aliumia kifunda cha mguu kwenye mazoezi walipokuwa wanajiandaa na mchezo dhidi ya…
GOMEZ SASA KUTIMKA NDANI YA MANCHESTER UNITED, DILI LAKE KESHO LINAFIKA MWISHO
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amekubali kuacha kinda wa timu hiyo Angel Gomes kusepa ndani ya kikosi hicho.Nyota huyo mwenye miaka 19…