Uncategorized

AZAM NAO KUKIWASHA USIKU DHIDI YA SIMBA, TAIFA

admin June 29, 2020 2:47 pm


AZAM FC, Julai Mosi, Uwanja wa Taifa itakuwa na kazi ya kumenyana na Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho.

Mchezo huo awali ulitarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 Uwanja wa Taifa ila ratiba ya muda imebadilishwa.

Taarifa iliyotolewa leo imeeleza kuwa muda wa mechi hiyo utakuwa ni saa 1:00 usiku ila tarehe itabaki kuwa ileile ya Julai Mosi.

Azam FC inashuka uwanjani akiwa ni bingwa mtetezi wa taji hilo.

Mshindi wa mchezo huo atamenyana na mshindi wa mchezo kati ya Yanga na Kagera Sugar hatua ya nusu fainali.

YANGA KUMENYANA KESHO NA KAGERA SUGAR USIKU VIDEO: KOCHA WA SIMBA AZUNGUMZIA KUHUSU MIPANGO YAKE, KESHO KUANZA MAZOEZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply