Uncategorized
YANGA KUMENYANA KESHO NA KAGERA SUGAR USIKU
admin
June 29, 2020
2:47 pm
MUDA wa mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Yanga na Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa kesho Uwanja wa Taifa utakuwa ni saa 1:00 usiku.
Awali mchezo huo ulitarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni.
Taarifa ambayo imetolewa leo imeeleza kuwa mchezo huo utachezwa saa 1:00 usiku Uwanja wa Taifa.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.