Meridianbet

MERIDIANBET YATOA TABASAMU WODINI ILI KUJENGA KESHO BORA

Vardo May 30, 2026 10:37 pm

Meridianbet imeendelea kuonyesha mfano wa kuigwa kupitia miradi yake ya kijamii. Hatua yake ya kutoa vyandarua kwa Hospitali ya Mabwepande ni sehemu ya safari yake ya kusaidia sekta ya afya.

Kupitia msaada huu, Meridianbet inalenga kuboresha mazingira ya wagonjwa na kupunguza changamoto zinazowakumba wahudumu wa afya katika kutoa huduma bora.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Afisa Habari, Nancy Ingram alibainisha kuwa kampuni hiyo inaamini katika kurudisha kwa jamii kile inachopata kupitia shughuli zake mbalimbali. Alisema msaada huo ni uthibitisho wa dhamira yao ya muda mrefu.

Hospitali ya Mabwepande ilipokea msaada huo kwa furaha, ikieleza kuwa vyandarua hivyo vitasaidia kuongeza kiwango cha usafi na faraja kwa wagonjwa waliolazwa.

Kwa mtazamo wa kijamii, Meridianbet inaendelea kuwa sehemu ya hadithi ya matumaini inayogusa maisha ya watu moja kwa moja.

SINGIDA BS YAWEKEWA SH50 MIL KWA MBAPPE