MKATABA WA WAWA SIMBA WAZUA JAMBO..!!
BEKI Muivory Coast, Pascal Wawa wa Simba, maisha yake kwenye klabu hiyo yapo mbioni kumalizika ambapo suala la mkataba wake mpya limezua jambo ndani ya…
BEKI Muivory Coast, Pascal Wawa wa Simba, maisha yake kwenye klabu hiyo yapo mbioni kumalizika ambapo suala la mkataba wake mpya limezua jambo ndani ya…
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wana kazi ngumu kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara ambazo ni dhidi ya Mbeya City na Tanzania…
HESABU za mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara kuweza kufikia malengo ya kutwaa ubingwa itaanza kuhesabiwa leo iwapo itashinda mchezo wake dhidi ya Mbeya City…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo utapambana kupata pointi tatu kwenye mchezo wao utakaopigwa majira ya saa 10:00 jioni Uwanja wa Sokoine.Akizungumza na Saleh Jembe, …
INJINIA Hersi Said amesema kuwa mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison amesaini kandarasi ya miaka miwili mbele ya macho yake hivyo ni mali halali ya Yanga…
AZAM FC leo ina kazi ya kumenyana na Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 jioni Uwanja wa…
Taarifa kutoka Yanga kuhusu mkataba wa Bernard Morrison
MBAO FC jana imeinyoosha bao 1-0 Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba.Bao pekee la ushindi kwa Mbao FC…