DAVID LUIZ KUONGEZEWA DILI LA MWAKA MMOJA
DAVID Luiz, nyota anayekipiga ndani ya Arsenal amekubali kuongeza saini ya mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu hiyo iliyo chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta.Beki huyo…
DAVID Luiz, nyota anayekipiga ndani ya Arsenal amekubali kuongeza saini ya mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu hiyo iliyo chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta.Beki huyo…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano. Lipo mtaani jipatie nakala yako ujishindie ndinga mpya kabisa itakayotoka hivi karibuni.
LIGI Kuu Bara inaendelea kuchanja mbunga ambapo leo Juni 24, timu 10 zitakuwa kwenye viwanja vitano zikisaka pointi tatu muhimu.Mechi moja tu itapigwa usiku ambayo…
LEO saa moja kamili Usiku, Uwanja wa Taifa kutakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Namungo FC. Mchezo huu wa Ligi Kuu…
BEKI kisiki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amewaonya wapinzani kuwa timu yao ndio kwanza inaanza kutawala soka la England na wanatarajia watatamba kwa miaka kadhaa…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wa kesho ni kushinda ili kupata pointi tatu.Kesho, Juni 24, Yanga itaikaribisha Namungo FC kwenye mchezo…
KESHO ndani ya Championi Jumatano
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda Michael Sarpong, amekubali kujiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili baada ya uongozi wa…
KIUNGO James Kotei aliyesitishiwa mkataba na Slavia Mozyr ya nchini Belarus amefikia pazuri na Yanga ambao wamemuwekea Sh.80 milioni mezani asaini.Mmoja wa vigogo wa Yanga…
KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo wa kesho, Juni 24 dhidi ya Mbeya City utakaochezwa Uwanja wa Sokoine, majira ya…