Uncategorized
10 LEO KUSAKA POINTI TATU, YANGA USIKU SIMBA JIONI, RATIBA HII HAPA
LIGI Kuu Bara inaendelea kuchanja mbunga ambapo leo Juni 24, timu 10 zitakuwa kwenye viwanja vitano zikisaka pointi tatu muhimu.
Mechi moja tu itapigwa usiku ambayo ni dhidi ya Yanga majira ya saa 1:00 huku nyingine zilizobaki zitapigwa majira ya saa 10:00 jioni.
Ipo namna hii:- Yanga v Namungo, saa 1:00 Usiku, Taifa.
Kagera v Azam FC, saa 10:00, Kaitaba.
Alliance v Polisi Tanzania, saa 10:00, Nyamagana.
Biashara United v KMC, saa 10:00, Karume.
Mbeya City v Simba, saa 10:00, Sokoine.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.