WAWILI WA SIMBA KUPIGWA CHINI JUMLAJUMLA
HASSAN Zadadu, mwenyekiti wa Klabu ya Namungo amesema kuwa Klabu hiyo itaachana na nyota wa Klabu ya Simba Mohamed Ibrahim na Paul Bukaba waliokuwa wanacheza…
HASSAN Zadadu, mwenyekiti wa Klabu ya Namungo amesema kuwa Klabu hiyo itaachana na nyota wa Klabu ya Simba Mohamed Ibrahim na Paul Bukaba waliokuwa wanacheza…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison ametua makao makuu ya Yanga ili kuzungumza masuala yanayomhusu. Morrison hakusafiri na timu ambayo ilicheza mchezo na Mwadui FC…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison bado ni pasua kichwa kwa sasa kwani inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za Simba jambo linalomfanya asiwe na timu…
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mechi zote zilizobaki ikiwa ni pamoja na ile ya Mwadui…
TUISILA Kisinda, winga anayekipiga AS Vita ya Congo amesea kuwa muda wowote kuanzia leo anaweza kutua Yanga. Hivi karibuni, Yanga chini ya Mkurugenzi wa Uwekezaji…
UONGOZI wa Gwambina FC umesema kuwa malengo makubwa ni kuona inashiriki Ligi Kuu Bara msimu ujao kwa kuwa imejipanga kuona inafikia malengo hayo.Gwambina ipo nafasi…
NAHODHA wa Simba, John Bocco alikuwa wa kwanza kufunga bao kwenye Uwanja wa zamani wa Azam Complex Chamazi, Agosti 20,2011 mbele ya Moro United.Bocco alifunga…
PAPE Gueye, nyota wa timu ya Le Havre AC amewekwa kwenye rada za Klabu ya Watford ambayo imeonyesha nia ya kupata saini yake kwenye usajili…
BAADA ya kusepa na pointi tatu mbele ya Mwadui FC kwa ushindi wa bao 1-0, tayari Yanga imeanza kujiandaa kwa ajili ya mchezo wake wa…