Uncategorized
WAWILI WA SIMBA KUPIGWA CHINI JUMLAJUMLA
HASSAN Zadadu, mwenyekiti wa Klabu ya Namungo amesema kuwa Klabu hiyo itaachana na nyota wa Klabu ya Simba Mohamed Ibrahim na Paul Bukaba waliokuwa wanacheza kwa mkopo kwenye klabu hiyo.
Zadadu amedai sababu kubwa ya kuachana na Nyota hao mwisho wa msimu huu ni utovu wa nidhamu.
Mpaka Sasa wachezaji hao wameshindwa kuripoti kambini kwa ajili ya Mazoezi kujiandaa na michezo ya ligi kuu bila taarifa.
Juni 14, Namungo ililazimisha sare ya kibabe mbele ya Coastal Union ya kufungana mabao 2-2 Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.