KISA KUGAWANA POINTI MOJA NA RUVU, SIMBA WATOA TAMKO HILI
UONGOZI wa Simba umesema kuwa sare ya kufungana bao 1-1 na Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa leo sio aina ya matokeo mazuri ambayo waliyatarajia.Simba imekubali…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa sare ya kufungana bao 1-1 na Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa leo sio aina ya matokeo mazuri ambayo waliyatarajia.Simba imekubali…
AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Uwanja wa Azam Complex.Mabao ya…
KESHO ndani ya Championi Jumatatu usikubali kukosa nakala yako
AZAM FC leo imetekeleza kwa vitendo siku ya wachangiaji damu duniani, kwa baadhi ya wafanyakazi kuchangia damu kwenye benki ya Taifa ya Damu Salama.Zoezi hilo…
LICHA ya Shiza Kichuya kuifungia Simba bao la kuongoza dakika ya 11 halikufua dafu mbele ya wazee wa kupapasa Ruvu Shooting ambao walilipinduapindua ndani ya…
Zimeongezwa dakika 3 Kipindi cha Kwanza Uwanja wa Taifa dakika 45 zimemegukaDakika ya 43 Ruvu wanalifuata lango la SimbaDakika ya 35 Goal MagangaDakika ya 35…
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Ruvu Shooting, Juni 14 Uwanja wa Taifa
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa tofauti zao waliziweka kando na kuingia uwanjani kupambana kwa kuwa ni timu moja.Jana, Juni 14 Yanga ilikuwa…
KIKOSI cha Ruvu Shooting dhidi ya Simba leo Juni 14 Taifa kitakuwa namna hii:- Mohamed Makaka Omary Kindamba Kassim Simbaulanga Rajab Zahir Baraka Mtuwi Zubeir…
LEO Uwanja wa Taifa kutakuwa na kazi moja kubwa kwa Simba iliyo nafasi ya kwanza na pointi 71 kuzisaka pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting…