Uncategorized

AZAM FC WATEKELEZA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU KWA VITENDO

admin June 14, 2020 5:47 pm


AZAM FC leo imetekeleza kwa vitendo siku ya wachangiaji damu duniani, kwa baadhi ya wafanyakazi kuchangia damu kwenye benki ya Taifa ya Damu Salama.

Zoezi hilo limefanyika kwenye viunga vya Azam Conmplex, ambapo pia watu mbalimbali wakiwemo mashabiki wa soka, waliruhusiwa kuchangia damu.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na kllabu hiyo kwa pamoja wamedhamini zoezi hilo, lengo ni kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji wa damu hospitalini.


VPL: SIMBA 1-1RUVU SHOOTING SIMBA YAKIONA CHA MOTO LEO TAIFA, YAAMBULIA POINTI MOJA MBELE YA WAZEE WA KUPAPASA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply