BEKI RASTA ATEMBEA NA MKATABA WA YANGA
BEKI wa pembeni wa Yanga, Jaffary Mohammed, amesema kuwa anasubiri kusaini mkataba mpya kuendelea kubakia kwenye klabu yake hiyo. Beki huyo ni kati ya wachezaji wanaomaliza…
BEKI wa pembeni wa Yanga, Jaffary Mohammed, amesema kuwa anasubiri kusaini mkataba mpya kuendelea kubakia kwenye klabu yake hiyo. Beki huyo ni kati ya wachezaji wanaomaliza…
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wanazisubiri Yanga na Simba mezani hali itakapokuwa shwari kuzungumza kuhusu ishu ya kuwahitaji nyota wao wanaokipiga…
PASCAL Wawa, beki kisiki wa Simba, amesema anataka kuona Simba inasajili watu wa kazi kwa ajili ya msimu ujao katika kila nafasi ikiwemo nafasi yake…
WAZIRI wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema kuwa kuna umuhimu wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) kufanya mazungumzo na Fifa ili kujua namna…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji, amefunguka kuwa kwa sasa hawezi kurejea Dar kwa sababu bado uwanja wa ndege wa nchi yao…
UONGOZI wa Arusha FC, inayoshiriki Ligi Dajaja la Kwanza umeliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuzitazama timu zote zinazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza pamoja na…
RELLIANTS Lusajo, mshambuliaji namba moja wa Klabu ya Namungo FC amesema kuwa hawezi kuzungumzia juu ya dili lake la kutua ndani ya Klabu ya Simba…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa hauna mpango wa kurejea kambini kwa sasa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vimesababisha ligi kusimamishwa ili…
OFISA Habari wa Klabu ya simba, Haji Manara amefunguka kuwa anakosa amani kila anapowaza janga la Virusi vya Corona kwa kuwa hajui litakwisha lini. Manara…
HARUNA Niyonzima, kiungo anayekipiga ndani ya Yanga amemtaja mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere kuwa ndiye mchezaji wake bora zaidi wa kigeni ambaye amewahi kucheza Ligi…