HAWA HAPA MASTAA 8 WANATAJWA KUWA KWENYE RADA ZA SIMBA. MBELGIJI AANZA NA JINA LAKE
INAELEZWA kuwa mpango namba moja wa mabosi wa Simba ni kusuka kikosi bora ambacho kitafanya vema msimu ujao kwenye mechi za kitaifa na kimataifa.Kwa sasa…
INAELEZWA kuwa mpango namba moja wa mabosi wa Simba ni kusuka kikosi bora ambacho kitafanya vema msimu ujao kwenye mechi za kitaifa na kimataifa.Kwa sasa…
JUMA Kaseja, nahodha wa KMC amesema kuwa kwa sasa anachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona huku akifanya mazoezi kulinda kipaji chake.Ligi Kuu Tanzania Bara…
IDD Seleman, ‘Naldo’ msha mbuliaji wa Azam FC amesema kuwa miongoni mwa mechi ambayo ilikuwa na presha msimu huu ni ile dhidi ya Simba walipokubali…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa, nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
JOH Makini, ‘Mwamba wa K askazini amewaomba watanzania kuzidi kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili kuwa salama. Kwa sasa dunia imevurugwa na Corona…
MUONEKANO wa Ukurasa wa n yuma Gazeti la Championi Ijumaa
GABADINHO Mhango nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Orlando Pirates ni miongoni mwa washambuliaji wanaofanya vizuri nchini Afrika Kusini. Raia huyo wa Malawi ni mbaya…
DECLAN Rice nyota wa West Ham ameingia kwenye anga za Manchester United pamoja na Chelsea ambazo zinawania saini yake. West Ham mwanzoni mwa msimu huu…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa miongoni mwa washambuliaji walio hatari ndani ya Ligi Kuu Bara ni pamoja na Meddie Kagere. Akizungumza na…
SHIRIKISHO la Soka la Kenya, (KKF) limesema kuwa hakuna matumaini ya kuendelea na ligi kwa hivi karibuni na matokeo yake, Gor Mmahia wametajwa kuwa mabingwa…