Uncategorized

AZAM FC HAWASAHAU BALAA LA SIMBA TAIFA

admin May 1, 2020 3:43 am
IDD Seleman, ‘Naldo’ msha

mbuliaji wa Azam FC amesema kuwa miongoni mwa mechi ambayo ilikuwa na presha msimu huu ni ile dhidi ya Simba walipokubali kichapo cha mabao 3-2.

Azam FC iliyo chini ya Arstica Cioaba imepigwa nje ndani na Simba msimi wa 2019/20 ambapo mchezo wa Kwanza ilikubali kichapo cha bao 1-0 na ule wa pili walichapwa mabao 3-2. “Ulikuwa ni mchezo mgumu na presha kubwa ukizingatia kwamba tulianza kufunga tukaamini kwamba tutasepa na pointi tatu mambo yakawa tofauti,” .

Azam FC ipo nafasi ya pili Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara imejikusanyia pointi 54 baada ya kucheza mechi 28.

HUYU HAPA MTUPIAJI MATATA WA MALAWI ANAYETAJWA KUINGIA KWENYE RADA ZA YANGA HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA JUMA KASEJA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply