Uncategorized

HUYU HAPA MTUPIAJI MATATA WA MALAWI ANAYETAJWA KUINGIA KWENYE RADA ZA YANGA

admin May 1, 2020 2:43 am
GABADINHO Mhango nyota

anayekipiga ndani ya Klabu ya Orlando Pirates ni miongoni mwa washambuliaji wanaofanya vizuri nchini Afrika Kusini.

Raia huyo wa Malawi ni mbaya kwa kucheka na nyavu kwani ni kinara ndani ya Pirates akiwa ametupia mabao 18.

Jezi yake mgongoni ni namba saba inaelezwa kuwa nyotabwa sasa wa Yanga ambaye nu kiungo mshambuliaji,  Bernard Morrison anamtambua vema mshambuliaji huyo.

Amecheza mechi 18 aa Ligi Kuu ya Afrika Kusini inatajwa kuwa yupo Kwenye rada za Yanga ambao kwa sasa wanapata sapoti kubwa kutoka kwa mshirika wao kampuni ya GSM

LIGI KUU ENGLAND KUREJEA HATA WAKIAMBUKIZANA CORONA,NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA AZAM FC HAWASAHAU BALAA LA SIMBA TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply