MOLINGA APANIA KUFUNGA MABAO MENGI KWENYE LIKI
DAVID Molinga, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa anataka kufunga mabao mengi zaidi pale Ligi Kuu Bara itakaporudi.Molinga ametupia mabao nane ndani ya ligi akiwa ni…
DAVID Molinga, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa anataka kufunga mabao mengi zaidi pale Ligi Kuu Bara itakaporudi.Molinga ametupia mabao nane ndani ya ligi akiwa ni…
UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kujenga kikosi imara kwa ajili ya mashindano ya kitaifa na kimataifa kwa msimu…
HALI sio shwari kwa sasa kwa kuwa mambo megi duniani yamesimama na hii inatokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia. Kwenye kila…
DITRAM Nchimbi, shambuliaji wa Yanga amesema kuwa kiwango alichokionyesha kwenye mechi za hivi karibuni akiwa ndani ya klabu hiyo kabla ya ligi kusimamishwa hajakifurahia jambo…
MANAHODHA wa Bongo wakati wa kuzinduka na kuendeleza ile vita ya kupambana na adui Corona kwa vitendo ni sasa kwani hakuna muda mwingine ambao tutapata…
WAKATI ule nakumbuka sio muda mrefu ngoma ya Kamwambie ilikuwa ni ya taifa ambapo kila kona ilikuwa inapigwa na watu wakawa wanaielewa. Sikupata tabu sana…
CRISTIANO Ronaldo nyota anayekipiga ndani ya Juventus ameombwa na mabosi hao kutotimka kwenye kikosi hicho na adumu mpaka pale mkataba wake utakapomeguka. Ronaldo mkataba wake…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morri son amesema kuwa anafurahia maisha yake ndani ya klabu hiyo kutokana na sapoti anayopewa kutoka kwa mashabiki, wachezaji na…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa miongoni mwa vitu ambavyo unavikumbuka kwa sasa ni pamoja na ushindani wa Ligi Kuu Bara uliokuwa umeanza kushika kasi…
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroec amesema kuwa hana tatizo na kiungo wake mshambuliaji Ibrahim Ajibu na anaamini anaweza kuwa bora baadaye ikiwa ataongeza juhudi…