Uncategorized

MORRISON ACHEKELEA MAISHA NDANI YA YANGA

admin April 30, 2020 9:11 am
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morri

son amesema kuwa anafurahia maisha yake ndani ya klabu hiyo kutokana na sapoti anayopewa kutoka kwa mashabiki, wachezaji na uongozi kiujumla.

Morrison amekuwa kwenye ubora wake ambapo mchezo wake wa kwanza mbele ya Singida United alitoa pasi moja ya bao wakati Yanga ikishinda mabao 3-1.

“Tunaishi vizuri na kupeana sapoti kubwa kutoka kwa viongozi na wachezaji pia jambo ambalo linanifanya niwe na furaha kuwa hapa kwa sasa, maisha ni mazuri ila kikubwa kwa sasa ni muhimu kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona,” amesema.

Morrison ametupia mabao matatu ndani ya Yanga Kwenye Ligi akiwa ametupia mabao matatu pia.

MOUSA WAGUE BEKI WA SENEGAL ANAYEPAMBANA NA CORONA KWA VITENDO MTIBWA SUGAR YAKUMBUKA KASI YA LIGI KUU BARA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply