WAWA ACHEKELEA MAISHA YAKE NDANI YA SIMBA
PASCAL Wawa, beki kisiki wa Simba amesema kuwa anafurahia maisha yake ndani ya timu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Kariakoo.Wawa ni miongoni mwa mabeki…
PASCAL Wawa, beki kisiki wa Simba amesema kuwa anafurahia maisha yake ndani ya timu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Kariakoo.Wawa ni miongoni mwa mabeki…
CRISTIANO Ronaldo nyota wa Juventus inaelezwa kuwa ataendelea kukipiga ndani ya kikosi hicho msimu ujao.Habari zilikuwa zinaeleza kuwa Klabu ya PSG ilikuwa sokoni kuisaka saini…
KEVIN de Bruyne staa wa Manchester City amesema kuwa tuzo ya mchezaji bora wa msimu iende Liverpool.Mpishi huyo wa mabao akiwa na pasi 16 za…
MUONEKANO wa Ukur asa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu, lipo mtaani jipatie nakala yako nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
KIUNGO Sharaf Shiboub raia wa Sudan, ameliambia Spoti Xtra kuwa, kabla ya Ligi Kuu Bara kusimama kutokana na janga la Corona, alikuwa hafurahishwi na kiwango…
YUSUPH Mhilu mshambuliaji anayekipiga ndani ya Kagera Sugar, amesema kuwa moja ya mabeki anaokubali uwezo wao ndani ya Bongo ni pamoja na Kelvin Yondani anayekipiga…
KESHO ndani ya Championi Jumatatu usipange kukosa nakala yako, nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
KUHUSU Nadir, Jembe anaandika hivi:-KWELI muda umekwisha mwanangu Nadir, unakuwa hauna ujanja lakini kama ungekuwa unaruhusu, ningekushauri urudi tena na kuitumikia Yanga au Tanzania yetu.Umeondoka…
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba amesema kuwa kwa wakati huu wa maambukizi ya Virusi vya Corona ni lazima kila mmoja akachukua tahadhari…
NA SALEH ALLY WAKATI huu michezo imesimama kwa ajili ya hofu ya maambukizi ya Covid 19, yaani ugonjwa wa homa ya mapafu ya Corona. Ugonjwa…