Latest Posts

BEKI RUVU SHOOTING AJIWEKA SOKONI

BEKI wa kati wa timu ya Ruvu Shooting ya mkoani Pwani Santos Mazengo amesema kuwa, kwa sasa yupo huru kufanya mazungumzo na timu yoyote kwa…

KMC KUONGEZA MASHINE MOJA YA KAZI

KOCHA wa KMC, Haruna Harerimana yenye maskani yake Kinondoni amesema kuwa anahitaji kupata saini ya mlinda mlango mpya atakayeongeza changamoto ndani ya kikosi chake.KMC imekuwa…

BEKI SIMBA ATAKA KUCHEZA YANGA

ZANA Coulibaly, raia wa Ivory Coast amesema kuwa yupo tayari kurejea Bngo kukipiga ndani ya Yanga iwapo watahitaji huduma yake. Beki huyo alidumu Simba kwa…

HUYU HAPA AMELIONDOA JINA LA NDEMLA YANGA

IMEFAHAMIKA kuwa jina la kiungo mkabaji wa Mtibwa Sugar, Abdulhalim Humoud ‘Gaucho’ ndiyo limemuondoa Said Ndemla kwenye orodha ya majina ya usajili yaliyopendekezwa na Kamati…

MESSI AJIFUNGIA NDANI KISA CORONA

RAMADHAN Singano,’Messi’ nyota kutoka Bongo anayekipiga ndani ya TP Mazembe ya nchini Congo amesema kuwa kwa sasa anashinda ndani akifanya mazoezi mepesi kutokana na zuio…