Uncategorized

SERGE NA SISSOKO WA SPURS WAKIUKA SHERIA YA UMBALI

admin April 22, 2020 9:35 am


NYOTA wa Spurs Serge Aurier na mwenzake Moussa Sissoko wamevunja Sheria ya umbali wa kufanya mazoezi katika kipindi cha maambukizi ya Virusi vya Corona.

Kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona wachezaji wengi nchini England na duniani kiujumla wametakiwa kutofanya mazoezi kwa pamoja ikiwa ni kujilinda dhidi ya Corona.

Serge, beki wa kulia wa Spurs alipandisha video akifanya mazoezi na Sissoko bila tahadhari kwenye mitandao ya kijamii kisha akaifuta na ametakiwa kuomba msamaha kwa kukiuka utaratibu wa Serikali.

KOCHA WA NAMUNGO AWATAKA WAZAWA KUTAFUTA CHANGAMOTO MPYA NJE YA BONGO HUYU HAPA AMELIONDOA JINA LA NDEMLA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply