KIUNGO WA MTIBWA SUGAR ANAYEWINDWA NA YANGA AFUNGUKIA ISHU YAKE
ABDULHAMAN Humud, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Mtibwa Sugar amesema kuwa iwapo Yanga itahitaji saini yake hana tatizo nao lazima atasaini iwapo watafikia makubaliano.Humud…
ABDULHAMAN Humud, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Mtibwa Sugar amesema kuwa iwapo Yanga itahitaji saini yake hana tatizo nao lazima atasaini iwapo watafikia makubaliano.Humud…
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa wazawa wana uwezo mkubwa wa kucheza nje ya nchi ila wanashindwa kujiamini na kujituma ndani ya uwanja.Kwa sasa…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wanapaswa kuwa na subira kwa wakati huu kuhusu kumrudisha nyota wao wa zamani Heritier Makambo ndani ya Yanga.Makambo msimu…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara amesema kuwa amewapa wachezaji wake mazoezi ya kucheza na wake zao wakiwa nyumbani…
MARIO Gotze, kiungo anayekipiga ndani ya Borussia Dortmund saini yake imegeuka lulu kwa kuwaniwa na klabu kubwa ambazo zinahitaji huduma yake ikiwa ni pamoja na…
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa watanzania na mashabiki wanapaswa wachukue tahadhari ya Virusi vya Corona kwani ni janga la dunia nzima.Kutokana…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado haujajua hatma ya Ligi Kuu Bara kwa sasa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Azam ipo nafasi ya…
MARCEL Kaheza, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa kwa sasa anaendelea na program maalumu ili kulinda kipaji chake kuwa bora.Kaheza akiwa ndani ya Polisi Tanzania…
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara amesema kuwa kuna umuhimu wa wachezaji kuchukua tahadhari wakiwa nyumbani kipindi hiki kigumu…