KOCHA MANCHESTER CITY AWAPA SOMO MASHABIKI NA WACHEZAJI KUHUSU CORONA
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa ni lazima kwa wachezaji na mashabiki kufuata kanuni za afya ili kujilinda na Virusi vya Corona.…
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa ni lazima kwa wachezaji na mashabiki kufuata kanuni za afya ili kujilinda na Virusi vya Corona.…
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC kwa sasa anakipiga anakinoa kikosi cha KFC cha Uganda amesema kuwa hali bado haijawa shwari kutokana na Virusi…
WILLIAM Lucian, ‘Gallas’ beki wa kuliwa wa Polisi Tanzania amesema kuwa uongozi wa Polisi Tanzania upo makini kwenye kufuatilia maendeleo ya wachezaji pamoja na kujali…
DEJAN Lovren mwenye miaka 30 beki anayekipiga ndani ya Liverpool huenda akasepa msimu ujao.Beki huyo amekuwa hana nafasi kwenye kikosi cha kwanza kilicho chini ya…
JAMES Maddisson kiungo anayekipiga ndani ya Leicester City saini yake imekuwa Lulu ghafla kwenye timu zinazoshiriki Ligi Kuu England.Nyota huyo mwenye miaka 23 anakipiga pia…
IMEZIDI kuwa tamu sasa promosheni namba moja Bongo ya Chomoka na Gari inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publisher wazalishaji wa magazeti ikiwa ni pamoja na…
FEISAL Salum, kiungo wa Yanga amesema kuwa uwepo wa Haruna Niyonzima na Papy Tshishimbi umekuwa ukimfanya kuwa Bora.Kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa ili kupisha…
WILLIAN nyota anayekipiga ndani ya Chelsea amewekwa kwenye rada za Juventus na Tottenham ambazo zimetajwa kumuwinda kiungo huyo.Willian alikuwa akihusishwa kutimka ndani ya Klabu ya…
HUSSEIN Machozi Mwana BongoFleva anayeishi Italia amesema kuwa maambukizi ya Virusi vya Corona yamewafanya wajifungie ndani muda mwingi.Machozi kwa sasa kazi zake za muziki anazifanyia…
Muonekano wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SpotiXtra Alhamisi lipo mtaani