GALLAS BADO ANAKOMAA KUJIWEKA FITI
WILLIAM Lucian ‘Gallas’, beki wa Polisi Tanzania, amesema kuwa anatumia muda mkubwa kufanya mazoezi ili kuwa fiti endapo Ligi Kuu Bara itarejea.Kwa sasa ligi imesimama…
WILLIAM Lucian ‘Gallas’, beki wa Polisi Tanzania, amesema kuwa anatumia muda mkubwa kufanya mazoezi ili kuwa fiti endapo Ligi Kuu Bara itarejea.Kwa sasa ligi imesimama…
MABEKI wawili ndani ya Simba inaelezwa kuwa nafasi yao ya kubaki ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2020/21 ni ndogo kutokana na kutopata…
MANCHESTER United inayotumia Uwanja wake wa Old Trafford imemuweka sokoni kiungo wao Paul Pogba na kukubali yaishe juu yake kwani alikuwa anahitaji kusepa tangu muda…
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa anaweza kikubwa kilicho nyuma ya mafanikio yake ni kuamini uwezo wake na kujituma.Nonga ndani ya Ligi Kuu Bara…
BERNARD Morrison Kiungo Mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kikubwa anachokifanya kwa sasa akiwa nyumbani ni kufanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji chake.Kwa sasa Ligi Kuu…
INAELEZWA kuwa Bayern Munich inataka kumchukua Philippe Coutinho ili awe mali yao jumla ndani ya kikosi hicho.Raia huyo wa Brazil mwenye miaka 27 anakipiga ndani…
Marcel Kaheza, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa kwa muda huu wa mapumziko ya Ligi Kuu Bara anafanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji chake.Kaheza ametupia…
KLABU ya Chelsea inayonolewa na Kocha Mkuu Frank Lampard imevutiwa na uwezo wa nyota anayekipiga ndani ya Borrusia Dortmund, Jadon Sancho. Hesabu za Lampard zinagogana…
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kilichotokea kwa baadhi ya viongozi wa Kamati ya Utendaji ndani ya Yanga kujiuzulu na wengine kuenguliwa madarakani…
WASOMAJI mbalimbali wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra wa maeneo ya Kawe, Mikocheni hadi Msasani mapema jan walijaza kuponi kwa ajili ya kushiriki droo…