Uncategorized

YANGA YATOA TAMKO KUHUSU KUJIUZULU KWA VIONGOZI WAO PAMOJA NA WALE WALIOJIENGUA

admin March 29, 2020 5:21 am


HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kilichotokea kwa baadhi ya viongozi wa Kamati ya Utendaji ndani ya Yanga kujiuzulu na wengine kuenguliwa madarakani ni mtikisiko kwa muda ila kila kitu kitakuwa sawa.

Machi 27 viongozi watatu ndani ya Yanga walijiuzulu huku wawili wakiondolewa kwenye madaraka yao na Kamati ya Nidhimamu ya Yanga.

Waliosimamishwa na Kamati ya Utendaji ya Yanga iliyochukua hatua ya kinidhamu ni Salim Rupia na Frank Kamugisha Machi 27 na wajumbe watatu ambao ni Rogers Gumbo, Shija Richard na Said Kambi wamejiuzulu.


Bumbuli amesema :” Ni mtikisiko lakini ni kawaida kwa timu ya Wananchi kutokea kila kitu kitakuwa sawa na mipango inaendelea,” .

JISHINDIE GARI, BABA LAO HIVI NDIVYO ILIVYOTINGA KAWE SAINI YA JADON SANCHO DILI KUBWA KWA TIMU KUBWA, CHELSEA NA UNITED ZAMUWANIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply