MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Said Ndemla ambaye amekuwa adimu uwanjani kutokana na ushindani wa namba ndani ya kikosi hicho amesema kuwa bado yeye ni mchezaji…
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa kwa sasa ana ofa nyingi mkononi ambazo amezipata kutoka kwa klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja…
LIVERPOOL timu inayoongoza Ligi Kuu England kwa sasa ikiwa imecheza mechi 29 na kujikusanyia pointi 82 kibindoni ipo kwenye hatihati ya kumkosa mshambuliaji wao Mohamed…
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji pamoja na mashabiki kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona kwani afya ni utajiri…
RELIANTS Lusajo, mshambuliaji wa Namungo FC amesema kuwa hana tatizo na Uongozi wa Yanga iwapo watamhitaji kwani yeye ni mchezaji hachagui kambi.Lusajo amekuwa kwenye ubora…
SHIJA Richard, Mjume wa Kamati ya Yanga inaelezwa kuwa amejiuzulu nafasi hiyo leo Machi 27 bila kuweka wazi sababu za kujiuzulu kwake.Richard ni miongoni mwa…
GERAD Mdamu, mshambuliaji wa Mwadui FC kwa sasa amejichimbia mkoani Dodoma akiendelea kunoa kiwango chake wakati huu Ligi Kuu Bara ikiwa imesimamishwa kutokana na kupambana…
MANUEL Neuer, mlinda mlango wa Bayern Munich ameingia kwenye anga za Klabu ya Chelsea ambayo inaiwinda saini yake. Frank Lampard, Kocha Mkuu wa Chelsea anahitaji…
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba kwenye mabao yake 19 ni mawili amefunga dakika zinazofana kwa kipindi cha pili. Simba ikiwa imefunga mabao 63 ikiwa nafasi…