CHIRWA NDIO BABA LAO AZAM FC, CIOBA AKERWA NA UBUTU WA SAFU YAKE YA USHAMBULIAJI
OBREY Chirwa, nyota wa Azam FC ndiye mcheka nyavu anayewakimbiza wote ndani ya klabu hiyo kwa kutupia mabao.Azam FC ikiwa imefunga mabao 37 yeye amefunga…
OBREY Chirwa, nyota wa Azam FC ndiye mcheka nyavu anayewakimbiza wote ndani ya klabu hiyo kwa kutupia mabao.Azam FC ikiwa imefunga mabao 37 yeye amefunga…
MABOSI wa Manchester United wamekubaliana na nyota wao Nemanja Matic ambaye ameongeza mkataba wake kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Nyota huyo mkataba wake ulikuwa unameguka baada…
NYOTA wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, kushoto ni Haruna Shamte yeye amesajiliwa na kikosi hicho akitokea Klau ya Lipuli.Simba ikiwa imecheza mechi 28…
UEFA imesitisha michuano hiyo ndani ya mwaka huu 2020 mpaka 2021 kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona.Kutokana na kuenea kwa Virusi vya Corona ambavyo…
MASHINDANO ya Diplomatic Golf msimu wa pili yanayoratibiwa na Kampuni ya Tanzania Mwandi kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano…
HAJI Manara amesema kuwa masha ya Watanzania ni muhimu kuliko mpira lakini ana imani kwamba utaratibu upo wazi.Serikali imesimamisha masuala yote ya michezo kwa muda…
KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa wanasitisha masuala yote yanayohusu mikusanyiko ya watu isiyo ya lazima ikiwa…
IKIWA imecheza mechi 27 na kujiwekea kibindoni jumla ya pointi 51, Yanga imebakiza vigingi 11 ili kukamilisha mzunguko wa pili baada ya siku 30 ambazo…
LIGI Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi ya Wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko ya watu imesitishwa kuanzia leo na Serikali.Sababu…
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameelekeza Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi Kuu kuitisha kikao cha dharura kesho Machi 18,2020,Kikao…