KIKOSI CHA YANGA V SIMBA LEO TAIFA, METACHA NDANI
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Simba, Machi 8, Uwanja wa Taifa
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Simba, Machi 8, Uwanja wa Taifa
KIKOSI cha Simba kimeti a timu Uwanja wa Taifa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa leo, Machi 8…
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham amesema kuwa tatizo kubwa kwenye timu yake kwa sasa ni kukosa viungo sahihi wa kuichezesha timu yake ndani ya…
Simba ikiwa imecheza mechi 26, Manula amekaa langoni kwenye mechi 19 huku mechi saba akikaa mlinda mlango namba mbili Beno Kakolanya. Simba ikiwa imefungwa mabao…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa leo unaichapa Simba mapema ili kulinda heshima hauna hesabu na kutwaa Kombe la Ligi Kuu Bara ambalo lipo mkononi mwa…
LEO Uwanja wa Taifa, majira ya saa 11:00 jioni kutakuwa na mchezo unaosubiriwa kwa hamu kati ya Yanga na Simba ambao ni wa mzunguko wa…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amewacharukia wachezaji wake wote wa Yanga na kuwataka wacheze kwa nidhamu mbele ya Simba leo kutokana na uimara wa…
MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula amesema kuwa wapinzani wao Yanga walifurahia sare waliyopata kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Januari 4, 2020 kutokana…
AZAM FC jana imeinyoosha Alliance FC ya Fred Minziro kwa ushindi wa bao 1-0.Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Uhuru ulikuwa na ushindani mkubwa ambapo Alliance…
LEO Uwanja wa Old Trafford kutakuwa na mechi kali ya kibabe kati ya Manchester United dhidi ya Manchester City majira ya saa 1:30 kwa saa…