Uncategorized

NDANDA YAKUTANA NA RUNGU LA TFF NAMNA HII

admin March 5, 2020 9:35 pm


Timu ya Ndanda FC imetozwa faini ya Tsh 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la timu hiyo kuingia uwanjani kwa kupitia mlango usio rasmi na kuliacha gari tupu likipita katika mlango rasmi katika mchezo uliofanyika Februari 29, 2020 uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro.

Adhabu hiyo imetolewa kwa uzingativu wa kanuni ya 14(43) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.


Mchezo huo Ndanda ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 mbele ya wakata miwa ya Mtibwa.

BOSI SIMBA ATUMA UJUMBE KWA KOCHA, WACHEZAJI KISA YANGA YANGA YATAJA MBINU ITAKAYOIMALIZA SIMBA MACHI 8 TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply