DOGO ALIYETIBUA MAMBO LIVERPOOL ATUMA UJUMBE MWINGINE TENA, NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
MSHAMBULIAJI wa Azam FC Andrew Simchimba amejifunga ndani ya klabu hiyo kwa kandarasi ya miaka mitatu.Nyota huyo inaelezwa kuwa alikuwa kwenye hesabu za mabosi wa…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa utaonyesha soka safi lisilo na makandokando kwenye mchezo wao utakaochezwa Machi 8, Uwanja wa Taifa dhidi ya Simba.Yanga iliyo chini…
BEKI chipukizi wa Azam FC Lusajo Mwaikenda makataba ataendelea kuitumikia klabu yake hiyo mpaka mwaka 2023.Hatua hiyo imekuja baada ya kupewa kandarasi mpya ya miaka…
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
NYOTA wa timu ya Borussia Dortumund, Earling Haalad amesema kuwa hawezi kumsahau Kocha Mkuu wa Manchester United, Ole Gunnnar Solkkajer, kwa sapoti yake.Wote wawili ni…
KIUNGO wa Chelsea, Billy Gilmour amesema aliweza kucheza vizuri katika mechi yao dhidi ya Liverpool baada ya kuamua kuwa imara kutokana na mkwara aliopigwa na…
UONGOZI wa Yanga na mdhamini GSM wameahidi kutoa Sh milioni 200 kwa wachezaji wa Yanga iwapo watashinda mechi yao dhidi ya Simba Jumapili, Machi 8,…
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa kuelekea mchezo wao wa Jumapili, Machi 8, Uwanja wa Taifa dhidi ya Yanga wachezaji wake lazima wacheze…
CHARLES Mkwasa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa mbinu iliyowashangaza wengi Januari 4, Uwanja wa Taifa itatumika pia baada ya dakika 90 kwenye mchezo wao…