Uncategorized

SIMBA YATUMA UJUMBE HUU KWA AZAM FC

admin March 4, 2020 8:19 am


UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kumalizana na Azam FC leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa majira ya saa 1:00 usiku.

Azam FC itamenyana na Simba ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili wakiwa na kumbukumbu ya kukubali kichapo cha bao 1-0 kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa.

Sven Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo wa leo watapambana kufikia malengo yao.

“Kazi ni moja tu kuendelea kutafuta ushindi ambao utatupa pointi tatu, ushindani ni mkubwa nasi pia tunapambana kutafuta matokeo,”.

POLISI TANZANIA: TUNAZITAKA POINTI TATU ZA MWADUI TANZANIA PRISONS KUMALIZANA NA BIASHARA UNITED LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply