SINGIDA UNITED YACHAPWA TENA, MAMBO BADO MAGUMU
SINGIDA United iliyo chini ya Ramadhan Nswazurimo imeendelea kupoteza mechi zake za Ligi Kuu Bara ambapo jana Machi 4, ilichapwa bao 1-0 na Coastal Union. Mchezo…
SINGIDA United iliyo chini ya Ramadhan Nswazurimo imeendelea kupoteza mechi zake za Ligi Kuu Bara ambapo jana Machi 4, ilichapwa bao 1-0 na Coastal Union. Mchezo…
UONGOZI wa Kagera Sugar umesema kuwa kushindwa kufurukuta mbele ya Mbeya City ni sehemu ya mchezo watajipanga kwa ajili ya mechi zinazofuata.Kagera Sugar, jana ilikubali…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa siku zilizobaki zinatosha kukiandaa kikosi chake kwa ajili ya mchezo wa Machi 8 dhidi ya Simba utakaochezwa…
FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliji wa Simba anayefanya kazi kwa ukaribu na kiungo Jonas Mkude amesema kuwa walicheza kwa kupanda na kushuka kutokana na mpira kuwa…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kwa sasa mipango yao ni kuona inamaliza ligi ikiwa ndani ya 10 bora. Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru…
AGREY Moriss, nahodha wa Azam FC amesema kuwa walishindwa kupata ushindi mbele ya Simba jana Uwanja wa Taifa kutokana na makosa yao wenyewe.Kwenye mchezo uliochezwa…
TIMU ya Namungo inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imekuwa ni moto wa kutokea mbali kwa timu ambazo zimepanda daraja msimu huu.Kocha Mkuu wa timu hiyo…
NYOTA wa kikosi cha Tottenham Spurs, Eric Dier, usiku wa kumkia leo aliwafuata mashabiki na kuzozana nao baada ya timu yake kutolewa kwenye mchezo wa…
AZAM FC jana imeshindwa kufuta uteja wake wa msimu wa 2019/20 mbele ya Simba kwa kukubali kichapo cha mabao 3-2 Uwanja wa Taifa.Kwenye mchezo wa…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamis upo namna hii