KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MBAO FC
HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Mbao FC Uwanja wa Taifa
HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Mbao FC Uwanja wa Taifa
DAMIAN Mrisho Kimti aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Simba amefariki dunia Jana jioni, Machi 2.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba imeeleza kuwa…
Klabu ya Trabzonspor ya Uturuki imemtema mshambuliaji wake, Daniel Sturridge. Sturridge ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na Liverpool, ametemwa baada ya kubainika ndugu…
MBAO iliyo chini ya Kocha Mkuu, Abdulmutik Hajji leo ina kazi nzito mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Taifa.Mchezo…
KADI ya njano aliyoonyeshwa mchezaji wa Arsenal, Matteo Guendouzi na refa Mike Dean imezua balaa kwa mashabiki wakidai kwamba ni kadi ya ajabu kutokea.Guendouzi alionyeshwa…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa watendaji wao Jaffary Idd Maganga ‘mbunifu’ na kocha msaidizi Idd Nassor Cheche ambao wamechimbishwa ndani ya kikosi hicho wamedumu…
LEO Uwanja wa Taifa Yanga itaikaribisha Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa majira ya saa 1:00 usiku.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Uhamasishaji…
ARSENAL imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la FA, England baada ya kushinda kwa mabao 2-0 mbele ya Portsmouth.Mabao ya Arsenal iliyo chini ya…
DAVID De Gea mlinda mlango wa Manchester United amekuwa kwenye wakati mgumu msimu huu kutokana na kufanya makosa mengi ya kiufundi jambo linalohatalisha nafasi yake…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa unazitaka pointi tatu za Azam FC ilikuendelea mbio zake za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Simba inaongoza ligi ikiwa na…