Latest Posts

KUMBE! UGUMU WA LIGI WAIPA PRESHA JKT TANZANIA

ABDALLAH Mohamed ‘Bares’, Kocha Mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa ugumu wa Ligi Kuu Bara unawafanya wachezaji wake wajitume uwanjani jambo analoamini kwamba wataibuka washindi…