Latest Posts

KAGERA SUGAR YAANDAA DOZI KAITABA

MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagere Sugar amesema kuwa wataendelea kutoa dozi ndani ya Uwanja wa Kaitaba ili kuongeza nafasi ya kufikia malengo ambayo wamejiwekea.…

KOCHA AFICHUA CHANZO CHA NCHIMBI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, ameweka wazi kwamba alimtumia mshambuliaji wake, Ditram Nchimbi baada ya straika huyo kumuomba msamaha kufuatia kuondoka kikosini bila ya…

KAGERE, KAHATA KUMEKUCHA SIMBA

MEDDIE Kagere, kinara wa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu, pacha yake na mchezaji mwenzake wa zamani walipokuwa Gor Mahia ya Kenya, Francis…

MO AMPIGIA SALUTI NIYONZIMA

KITENDO cha kiungo wa Yanga, Mohamed Issa ‘Mo Banka’, kuamua kumvulia jezi namba 8 na kumpatia kiungo wa zamani wa kikosi hicho Haruna Niyonzima baada…