ISHU YA SPORTPESA CUP SASA IMEFIKIA HAPA
IMEELEZWA kuwa michuano mikubwa ya SportPesa Super Cup ipo njiani kurejea tena na safari hii ushindani ukitajwa kuwa mkubwa zaidi ya msimu ulipita.Mdhamini mkuu wa…
IMEELEZWA kuwa michuano mikubwa ya SportPesa Super Cup ipo njiani kurejea tena na safari hii ushindani ukitajwa kuwa mkubwa zaidi ya msimu ulipita.Mdhamini mkuu wa…
TIMU ya Juventus inafikiria kuinasa saini ya winga wa Manchester City, Leroy Sane. Nyota huyi ambaye ni raia wa Ujerumani pia amewekwa kwenye rada za…
MBEYA City leo watakuwa na kibarua cha kutafuta pointi tatu mbele ya KMC ambayo nayo inazitafuta pointi tatu kwa udi na uvumba.Kocha Mkuu wa Mbeya…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kupata ushindi mbele ya Lipuli ya Iringa.Yanga itacheza na Lipuli majira ya saa…
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vanderbroeck ameshikilia hatma ya nyota wake Shiza Kichuya kucheza kwa sasa ndani ya kikosi hicho. Kichuya ambaye ni kiungo mshambuliaji…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa ni kwenye Uwanja wao wa Majaliwa hakuna kilichofukiwa zaidi ya jitihada za wachezaji kutafuta matokeo. Kwenye…
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa leo utapambana kupata ushindi mbele ya Biashara United kwenye mchezo wao utakaochezwa Uwanja wa Karume.Singida United imekuwa na mwendo…
IBRAHIM Ajibu, Kiungo mshambuliaji wa Simba jana Uwanja wa Taifa aliiokoa Simba usiku mikononi mwa Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara wakati Simba…
LEO Uwanja wa Nangwanda Sijaona kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka kati ya Ndanda FC dhidi ya Mbao FC ya Mwanza.Mechi ya leo inatarajiwa…
HASSAN Dilunga, Kiungo mshambuliaji ambaye ni mzawa amempoteza mshambuliaji namba moja wa Yanga, David Molinga raia wa Congo kwenye mechi nne za mwezi Januari ambazo…