KAGERA SUGAR YAWAITA MASHABIKI KAITABA, YAZITAKA POINTI TATU ZA MWADUI
UONGOZI wa Kagera umewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi leo Uwanja wa Kaitaba kushuhudia burudan mbele ya Mwadui FC saa 10:00.Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu…
UONGOZI wa Kagera umewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi leo Uwanja wa Kaitaba kushuhudia burudan mbele ya Mwadui FC saa 10:00.Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu…
ADOLF Rishard, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons amesema kuwa ataigia kwa tahadhari mbele ya Azam FC kwenye mchezo wao wa leo, Februari 5, wa Ligi…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga, raia wa Ubelgiji leo atakabiliwa na mtihani wake wa sita ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kucheza na timu…
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa bado anasumbuliwa na tatizo la safu ya ushambuliaji kushindwa kumalizia nafasi wanazotengeneza pamoja na safu ya ulinzi…
AZAM FC, leo Februari,5 itakuwa Uwanja wa Taifa saa 10:00 Jioni kumenyana na Tanzania Prisons mchezo wa Ligi Kuu Bara. Februari,2 ilianza kwa sare ya…
Na Saleh Ally TUMEKUWA na kawaida ya kubadilisha uchukuliaji wa mambo. Yale ya kawaida tukayapa uzito sana na mazito tukayachukulia kuwa mepesi tu, nafikiri ni…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa wale ambao wanalalamika kwamba wamefunga bao la kuotea waripoti taarifa hiyo kituo cha Polisi wakiwa na maelezo kamili.Ofisa Habari…
LIGI Kuu Bara leo Februari,5,2020 inaendelea na leo timu 14 ziakuwa kazini kuzisaka pointi tatu muhimu.Ratiba yao ipo namna hii:- Namungo v Alliance, Majaliwa.Ndanda v…
GAZETI LA Betika Lipo Mtaani nakala yake ni Bure kabisa ni maalumu kwa Takwimu na habari za kimataifa za michezo pia kuna matangazo ya nafasi…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, Lipo mtaani