AZAM FC V TANZANIA PRISONS KESHO TAIFA NI MOTO
AZAM FC, kesho Uwanja wa Taifa itakuwa na kazi ya kumenyana na Tanzania Prisons ya Mbeya kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.AzaM FC itashuka Uwanjani…
AZAM FC, kesho Uwanja wa Taifa itakuwa na kazi ya kumenyana na Tanzania Prisons ya Mbeya kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.AzaM FC itashuka Uwanjani…
JAMIE Vardy, mshambuliaji wa Leicester City ni rafiki namba moja wa nyavu ndani ya Ligi Kuu England kwa msimu wa 2019/20.Amecheka na nyavu mara 17…
TIMU ya Gwambina imesema inafahamu kuwa itakutana na Yanga kwenya hatua inayofuata ya michuano ya Kombe la Shirikisho hivyo wamejipanga kuhakikisha wanawafunga na kutimiza malengo…
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa hana habari na tuzo ya mfungaji bora ila anachotazama ni rekodi mpya kwa timu yake kutwaa taji la…
MZAZI wa mshambuliaji wa Aston Villa ya nchini Uingereza, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta, amemtaka kijana wake huyo abadili mwenendo katika klabu yake hiyo mpya…
KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema ameanza kuona faida ya mabadiliko ya kikosi kwenye mchezo uliopita baada ya kujaribu kumpatia nafasi kila mchezaji kuonesha uwezo…
MASHABIKI wa Simba ambao juzi walijitokeza katika Uwanja wa Taifa, Dar, walikuwa na kazi moja tu ya kuwajibu wenzao wa Yanga kuwa ‘Nyie mna Mghana,…
TIMU ya Tanzania Prisons ya Mbeya na Polisi Tanzania zinazomilikiwa na Wizara ya Mambo ya Ndani, wiki hii zimefanikiwa kuondoka na ushindi kwenye mechi zao…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amepata dili la kuwa balozi wa bidhaa za Azam Media na Influencer (Mtu wa ushawishi kwenye mitandao) wa La Liga…