KIJITONYAMA VETERANS KUMENOGA, UONGOZI MPYA WAPATIKANA, MOLANDI AANZA NA MKWARA WA KUMSHUSHA MORRISSON
TIMU ya Kijitonyama Veterans wikiendi hii ilifanikiwa kupata viongozi wapya watakaoiongoza timu hiyo kwa kipindi cha miaka minne baada ya ya kufanya uchaguzi. Katika uchaguzi…