Home Uncategorized THOMAS ULIMWENGU KUIBUKIA TP MAZEMBE Uncategorized THOMAS ULIMWENGU KUIBUKIA TP MAZEMBE By admin - January 28, 2020 0 IMEELEZWA kuwa, Mtanzania Thomas Ulimwengu amejiunga na Klabu yake ya zamani ya TP Mazembe aliyesepa klabuni hapo 2016.Taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo aliyekuwa anakipiga JS Saora ameseaini kandarasi ya miaka miwili.