MSUVA AWAZIDI KETE WACHEZAJI WOTE EL JADIDA
Simon Msuva ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2019 wa klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco. Msuva ameshinda tuzo hiyo…
Simon Msuva ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2019 wa klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco. Msuva ameshinda tuzo hiyo…
Baada ya hivi karibuni kuwepo kwa taarifa kuwa baadhi viongozi wa Simba kuwa na hofu na uwezo wa mshambuliaji Meddie Kagere katika kutupia, Wazungu kutoka…
SHIZA Kichuya mzee wa kona bao, ametibua hali ya hewa Simba kutokana na uwezo anaozidi kuonyesha kwenye mazoezi ya timu yake hiyo kiasi cha kuwatisha…
Kocha Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, amesema kuwa hapendi kuzungumzia uwezo wa mchezaji mmojammoja wa timu yake lakini kiwango ambacho amekionyesha kiungo mshambuliaji Mghana…
KIUNGO mchezeshaji fundi Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ‘Fabregas’ amewatoa hofu mashabiki wa Yanga na kuwasisitiza wazibeze kejeli za Simba. Staa huyo mwenye mapenzi na Yanga, amesisitiza…
MLINDA mlango namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya amesema kuwa kwa sasa anataka kuweka rekodi mpya ndani ya Simba kwa kucheza mechi bila kuruhusu mabao…
FRANCIS Kahata, kiungo wa Simba leo amewainua mashabiki wa Simba kwa kufunga bao la ushindi lililowapeleka hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho mbele…
UONGOZI wa Simba kupitia Ukurasa wake wa Instagram umetoa taarifa kuhusu wachezaji wake wapya ambao imewasajili kwenye dirisha dogo.Simba iliwasajili viungo viwili ambao ni Luis…
Kipindi cha Kwanza: Simba 0-0 MwaduiUwanja wa UhuruKombe la Shirikisho hatua ya 32 BoraDakika ya 20 Dilunga anafanya jaribio ndani ya 18 akiwa na mabeki…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison amesema kuwa kilichomtoa Ghana mpaka Bongo ni kazi tu jambo ambalo linamfanya afikirie kufanya vema muda wote.Morrison amesajiliwa na…