Habari za Michezo leo
Uncategorized

MSUVA AWAZIDI KETE WACHEZAJI WOTE EL JADIDA

admin January 25, 2020 10:13 pm

Simon Msuva ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2019 wa klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco.

Msuva ameshinda tuzo hiyo kwenye hafla iliyofanyika usiku wa jana.

“Nimechukua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2019 ndani ya klabu yangu ya Difaa El Jadida si ligi. (tuzo zinazoandaliwa na klabu) mimi ndiye nimeshinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu,” amesema Msuva.
NGOME MPYA YATENGENEZWA SIMBA HOFU YATAWALA MSIMBAZI, WAKALA WA KAGERE AFUNGUKIA DILI LA KWENDA SPAIN

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply