Uncategorized

ISHU YA KIUNGO MIQUISSONE NI NZITO KWA SIMBA, YAPIGA HODI FIFA

admin January 25, 2020 1:56 pm

UONGOZI wa Simba kupitia Ukurasa wake wa Instagram umetoa taarifa kuhusu wachezaji wake wapya ambao imewasajili kwenye dirisha dogo.

Simba iliwasajili viungo viwili ambao ni Luis Miquissone na Shiza Kichuya wote viungo.

Kuhusu Luis Miquissone taarifa imeeleza kuwa ITC yake bado haijafika (jambo hilo limeshafikishwa FIFA na linafanyiwa kazi)

Shiza Kichuya pia ITC yake bado haijafika (klabu ya Pharcos ya Misri bado haijajibu maombi yetu ya kutuma ITC)

FA: SIMBA 0-0 MWADUI FC SIMBA YALIPA KISASI KWA MWADUI FC, MBISSA MIKONO MIA AKIONA KICHWA CHA KAHATA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply