MASHABIKI WAOMBWA KUIPA SAPOTI LIPULI, LIGI NI MOTO
PAUL Nonga nahodha wa Lipuli amesema kuwa ligi ya msimu huu wa 2019/20 ni ngumu jambo linalowafanya wapambane wakiwa ndani ya uwanja kupata matokeo.Lipuli ipo…
PAUL Nonga nahodha wa Lipuli amesema kuwa ligi ya msimu huu wa 2019/20 ni ngumu jambo linalowafanya wapambane wakiwa ndani ya uwanja kupata matokeo.Lipuli ipo…
Kikosi cha Simba dhidi ya Mwadui FC 1-Beno Kakolanya 2-Shomary Kapombe 3-Mohamed Hussein 4-Erasto Nyoni 5-Pascal Wawa 6-Jonas Mkude 7-Hassan Dilunga 8-Sharaf Shiboub 9-Meddie Kagere…
HIKI ndicho kikosi cha Simba kitakaochoanza leo Uwanja wa Uhuru, Januari 25 Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora.
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa washambuliaji wake wote wana kazi moja tu uwanjani kufunga na kutengeneza nafasi za mabao ili kuongeza nguvu…
CHARLSE Ilanfya, mshambuliaji wa KMC amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kurejea Uwanjani kutokana na kusmbuliwa na majeraha kwa muda mrefu,Ilanfya alijiunga na KMC kwenye usajili…
MASHABIKI wa timu ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England wamepanga kutumia dakika 58 kufanya matembezi kwa pamoja nje ya Uwanja wa Old Trafford kuwaenzi…
HAJI Manara Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa sababu kubwa ya Simba kushinda mchezo huo ni kuongeza nguvu kwenye mradi wao wa kuingiza mashabiki wengi.Uwanja…
Farouk ShikaloAlly MtoniKelvin YondaniFei TotoMapinduzi BalamaMohammed BankaPatrick SibomanaJuma AbdulRamadhan KabwiliAli AliMrisho NgassaAbdulaziz MakameJafari MohammedPapy TshishimbiLamine MoroPaul GodfreyDeus KasekeVincent AndrewMetacha MnataDitram NchimbiTariq SeifYikpe GnamienAdeyum Saleh AhmedHaruna…
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC, Jana wameanza mazoezi ya kuivutia kasi timu ya Friends Rangers kuelekea kwenye mchezo wao wa hatua ya…
MSHAMBULIAJI wa Mwadui FC, Gerald Mdamu amesema kuwa akipata nafasi leo ya kuanza dhidi ya Simba atapambana kuipa ushindi timu yake ili isonge hatua ya…