Latest Posts

KINACHOMBEBA KOCHA MPYA SIMBA CHATAJWA

Sven Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, ametaja kwamba kucheza kwa haraka na kutumia mfumo wa 4-3-3 ndiyo silaha pekee ambayo inamfanya ang’ae na kupata matokeo…

SIMBA: HATUPO LEVO MOJA

Juzi iliyopita Mashabiki wa Simba walikuwa wakiimba maneno ya msemaji wao, Haji Manara kwamba wao hawapo levo moja na timu nyingine za Ligi Kuu Tanzania…

VIBARUA 10 VYA SAMATTA NA ASTON VILLA

Klabu ya Aston Villa imethibitisha kumsajili mshambuliaji Mbwana Samatta kwa mkataba wa miaka minne na nusu kuitumikia klabu hiyo hadi mwezi Juni, 2024. Usajili huo…