Uncategorized

SERIKALI YAAMUA KUTOA TAMKO JUU YA SAMATTA KUTUA ASTON VILLA – VIDEO

admin January 21, 2020 9:08 pm
Baada ya kusani mkataba wa miaka minne na nusu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  jana Januari 21, 2020, amemwasa mcheza soka wa Tanzania aliyesajiliwa majuzi  kuchezea timu inayocheza Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) ya Aston Villa, Mbwana Samatta, kuitumia fursa hiyo ili kujipatia mafanikio ya jasho lake badala ya kuhangaika na mambo yasiyo na tija.
KAKOLANYA ALAMBA SHAVU SIMBA BAADA YA SAMATA KUTUA ASTON VILLA, MTANZANIA MWINGINE ARITHI NAFASI YAKE GENK

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply