Latest Posts

NYOTA YANGA ATUMA MAOMBI YA UVUMILIVU

BEKI ya Yanga, Juma Abdul amewataka wanachama wa klabu hiyo kutulia na kutokatishwa tamaa na matokeo wanayoyapata uwanjani kwa kuwa ndiyo kwanza timu hiyo inajengwa.…

Habari za Michezo

YANGA YAUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA

Kocha na mchezaji wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameibuka na kusema kuwa Kocha mpya waliyemsajili Yanga, Luc Eymael, anaweza akaipeleka pabaya timu hiyo…