SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA ALLIANCE FC
BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa hawatailazia damu mechi yao dhidi ya Alliance, inayotarajiwa kuchezwa Januari, 20, Uwanja wa CCM Kirumba. Simba jana…
BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa hawatailazia damu mechi yao dhidi ya Alliance, inayotarajiwa kuchezwa Januari, 20, Uwanja wa CCM Kirumba. Simba jana…
IMEELEZWA kuwa Yanga imezipeperusha milioni 250 ndani ya dakika 180 ambazo ni sawa na mechi mbili walizocheza wachezaji wao kwenye mechi za Ligi Kuu Bara…
UONGOZI wa Azam FC umesema utamuongezea mzigo wa machungu, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael ambaye alipokea kichapo cha mabao 3-0 mbele ya Kagera Sugar…
DILI la nyota wa Tanzania Mbwana Samatta likijibu kujiunga na Aston Villa iliyo nafasi ya 18 kwenye msimamo na pointi zake 21 anaweza kuanza na…
Na Saleh Ally BAADA Yanga kuchapwa mabao 3-0 katika siku ya kwanza ya kocha Luc Eymael akiwa ndio amekaa benchi, kama ilivyo ada jazba kutoka…
NA SALEH ALLY NAJUA nawakasirisha sana watu kadhaa kuhoji kuhusiana na mambo kadhaa kwa kuwa tu naelewa Watanzania wengi hatupendi kukosolewa. Bahati mbaya ambao hawataki…
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa alimaliza mapema mgogoro wa nafsi kati ya Mohamed Salah na Sadio Mane uliotokea ndani ya timu yake…
BEKI wa Manchester United, Ashley Young imeripotiwa kuwa amegomea mazoezi ya timu yake akishinikiza kutimkia ndani ya kikosi cha Inter Milan. Young amekubali kujiunga na…
JANUARI,17 Muonekano wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
CHAMPIONI Ijumaa, Muonekano wa Ukurasa wa nyuma, Januari 17,2020