Uncategorized

BEKI WA MANCHESTER UNITED ASHINIKIZA KUSEPA MAZIMA

admin January 17, 2020 5:32 am

BEKI wa Manchester United, Ashley Young imeripotiwa kuwa amegomea mazoezi ya timu yake akishinikiza kutimkia ndani ya kikosi cha Inter Milan.
Young amekubali kujiunga na Inter Milan inayoshiriki Serie A akitokea kwenye timu inayoshiriki Ligi Kuu England na anatarajia kufanyiwa vipimo hivi karibuni kukamilisha dili hilo.
Imeripotiwa kwamba nyota huyo hafurahishwi na maisha yake ndani ya Manchester United na mabosi wa Inter Milan wameweka mezani pauni milioni 15 kuipata saini yake.
Nyota huyo amegomea dili la kuongeza mkataba wa mwaka mmoja ndani ya United na anahitaji kuondoka kwenye usajili wa mwezi Januari licha ya mkataba wake kumeguka mwishoni mwa msimu.
BOSI WA LIVERPOOL ALITUMIA DAKIKA 15 KUWARUDISHIA FURAHA NYOTA WAKE MANE NA SALAH MAKOFI YA MASHABIKI YANGA KWA WACHEZAJI WAO BAADA YA KIPIGO NI TIBA MPYA YA SOKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply