KAZI IMEISHA SASA TUKUTANE UWANJANI, MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTIXTRA, ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi, leo Januari 16, lipo mezani
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi, leo Januari 16, lipo mezani
Uongozi wa klabu ya Simba umeamua kumrejesha winga wake wa zamani Shiza Kichuya. Mchezaji huyo alikuwa sehemu ya kikosi cha kikosi cha wekundu hao wa…
Kampuni ya GSM imepanga kuiendesha Klabu ya Yanga kisasa kwa kuleta Mtendaji Mkuu (C.E.O), mpya wa timu hiyo atakayeifanya kuwa ya kisasa ili kufikia mafanikio…
Wakihesabu saa kabla ya usajili wa dirisha dogo kufungwa hapo jana, inaelezwa viongozi wa Simba wapo kwenye mipango kabambe ya kuhakikisha wanasajili straika mwingine wa…
Akiwa na siku nane tangu akabidhiwe mikoba ya kuinoa Yanga, Kocha Mkuu mpya wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji amesema kwamba atatumia mifumo mitatu…
ONYO! Kama mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’ atakuwa ameanza mchezo mbaya wa matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’, basi mashabiki na…
Miamba ya soka ya Premier League, Manchester United imeendelea kuwa kileleni kwenye maswala uingizaji wa mapato ngazi ya klabu England. United imezidi kuwa moto wa…
Baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa jana kunako Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam,…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye ni shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba, amehoji juu ya matumizi ya Sh. bilioni 4 alizotumia…